1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maandamano Ujerumani kupinga ubaguzi wa rangi duniani

8 Juni 2020

Maelfu ya watu wanaendelea kuandamana katika nchi na miji mbalimbali duniani kupinga ubaguzi wa rangi. Maandamano hayo yamechochewa na kifo cha Mmarekani mweusi George Floyd. Nchini Ujerumani, maandamano yamefanyika katika miji ya Bonn, Köln, Hamburg miongoni mwa miji mingine.

https://p.dw.com/p/3dRKW