Maandamano Congo yasababisha mauaji ya Watu sita | Media Center | DW | 22.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Maandamano Congo yasababisha mauaji ya Watu sita

Watu sita wameuawa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika maandamano ya kumshinikiza Rais Joseph Kabila kuondoka madarakani. Maandamano hayo yaliyoandaliwa na Kanisa Katoliki Congo yaliyofanyika Jumapili ni ya pili kumtaka Rais Kabila mwenye umri wa miaka 46 kuachia madaraka baada ya kuiongoza Congo kwa miaka 17.

Tazama vidio 01:01
Sasa moja kwa moja
dakika (0)