1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maandalizi ya kuapishwa Odinga yaendelea

Grace Kabogo
29 Januari 2018

Huku mipango ya sherehe za kumuapisha Kiongozi wa mungano wa upinzani nchini Kenya, NASA Raila Odinga na naibu wake Steven Kalonzo Musyoka ikiendelea japo kwa hofu, wafuasi wa muungano huo wanaisubiri siku hiyo kwa hamu kubwa.

https://p.dw.com/p/2riet

Katika baadhi ya ngome za muungano huo wa NASA, wafuasi wanajiandaa kusafiri hadi katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi kwa ajili ya kuhudhuria sherehe hiyo licha ya hofu iliyotanda kuhusu usalama wakati wa shughuli hiyo jijini Nairobi.

Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Eric Ponda.