1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maambukizi ya virusi vya corona yaongezeka Sweden

Sylvia Mwehozi/ MMT28 Aprili 2021

Makala ya Mwangaza wa Ulaya safari hii inaangazia Sweden, nchi ambayo imeshuhudia kiwango cha juu ya maambukizi ya virusi vya corona barani Ulaya, lakini wakati huohuo imekuwa ikikosolewa namna ilivyoacha upenyo wa watu kufuata masharti na vizuizi vya ugonjwa huo.

https://p.dw.com/p/3sg2O