1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maalim Seif azungumza na DW kuhusu uchaguzi mkuu ujao

Salma Said9 Oktoba 2020

Maalim Seif Sharif Hamad ni mwanasiasa maarufu visiwani Zanzibar na Tanzania. Ni miongoni mwa wanaowania urais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu ujao Oktoba 28. Hii ni mara ya sita yeye kuuwania wadhifa huo. Amefanya mahojiano maalum na mwandishi wa DW visiwani Zanzibar, Salma Said, kuhusu masuala kadhaa yahusuyo uchaguzi huo. Hebu sikiliza kwenye Kinagaubaga

https://p.dw.com/p/3ji2Z