1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

M23 watishia kujiondoa kwenye mazungumzo

Admin.WagnerD18 Desemba 2012

Waasi wa M23 wanaoshiriki katika mazungumzo na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huko Kampala, wametishia kujiondoa katika mazungumzo hayo iwapo serikali haitakubali mkataba wa kusimamisha mapigano.

https://p.dw.com/p/174Qy
Waasi wa M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Waasi wa M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoPicha: AP

Wakati mazungumzo hayo yakiendelea, hali ya wasiwasi imetanda mjini Goma, kufuatia hofu ya raia kwamba waasi huenda wakauteka mji huo. John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Kampala.

Sikiliza hapa chini ripoti ya mwandishi wetu John Kanyunyu aliyeko mjini Kampala.