LOS ANGELES: Rais wa zamani wa Marekani, Gerald Ford afariki dunia. | Habari za Ulimwengu | DW | 27.12.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

LOS ANGELES: Rais wa zamani wa Marekani, Gerald Ford afariki dunia.

Rais wa Zamani wa Marekani, Gerald Ford, amefariki dunia. Taarifa ya kifo cha Gerald Ford aliyefariki California akiwa na umri wa miaka 93, ilitolewa na mkewe.

Gerald Ford ndiye rais wa pekee wa Marekani ambaye hakuchaguliwa na umma.

Aliteuliwa kuwa makamu wa rais na mwaka 1973 akachukua madaraka kumrithi Richard Nixon aliyelazimika kuondoka madarakani kutokana na kashfa ya Watergate.

Gerald Ford amekuwa akikabiliwa na homa ya kichomi tangu Januari mwaka huu na amewahi kufanyiwa upasuaji wa moyo mara mbili
Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com