London. Kimbunga chaharibu majengo na mali nyingine. | Habari za Ulimwengu | DW | 08.12.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

London. Kimbunga chaharibu majengo na mali nyingine.

Kimbunga kidogo lakini chenye nguvu kimelikumba eneo la maazi kaskazini magharibi ya mji wa London jana, na kuwajeruhi watu sita na kuharibu kiasi cha nyumba 100. Picha za televisheni zilionyesha uharibifu mkubwa katika eneo la Kensal Rise, ikiwa miti imeangushwa na magari kuharibiwa na vitu vinavyoanguka.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com