Lissu afunguka na kumtahadharisha Magufuli | Matukio ya Afrika | DW | 06.09.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Lissu afunguka na kumtahadharisha Magufuli

Mbunge wa chama cha Chadema Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu amesema yuko tayari kurejea nyumbani na kuendelea kujihusisha na siasa, mwaka mmoja tangu aliposhambuliwa. Katika mahojiano maalumu aliyofanyiwa na Najma Said mjini Brussels nchini Ubeligiji, ambako amekuwa akiendelea kutibiwa, Lissu alizungumzia jinsi shambulizi hilo lilivyomuathiri.

Sikiliza sauti 03:11