Liberia kutangaza matokeo ya uchaguzi | Media Center | DW | 27.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Liberia kutangaza matokeo ya uchaguzi

Liberia yangoja kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu wenye ushindani mkali. Misri yanyonga watu 15 waliohusika na mashambulizi dhidi ya vikosi vya usalama rasi ya Sinai 2013. Na maelfu waandamana Lima, Peru kupinga kusamehewa rais wa zamani Alberto Fujimori aliyekuwa akitumikia kifungo cha miaka 25 jela.

Tazama vidio 01:42
Sasa moja kwa moja
dakika (0)