Leo Agosti 12 ni Siku ya Vijana Duniani | Media Center | DW | 12.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Leo Agosti 12 ni Siku ya Vijana Duniani

Leo tarehe 12 Agosti ni siku ya kimataifa ya Vijana ikiadhimishwa chini ya kauli mbiu ya 'Kuifanyia elimu Mageuzi'. Hii inalenga kuhimiza juhudi za kuwepo kwa elimu ambayo inakidhi mahitaji ya fursa za ajira na mapato zilizopo ili vijana waondokewe na changamoto za ukosefu wa kazi na njia za kujitegemea. Mwandishi wetu wa mjini Kampala, Lubega Emmanuel ametuandalia ripoti ifuatayo....

Sikiliza sauti 02:14