1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maandamano mjini Leipzig miaka 30 iliyopita

Oumilkheir Hamidou Mara Bierbach
9 Oktoba 2019

Kinyume na hofu zilizokuwepo vikosi vya usalama vya ile iliyokuwa zamani ikijulikana kama Jamhuri ya kidemokrasi ya Ujerumani GDR havikuingilia kati. Tunamulika yaliyotokea wakati ule na jinsi wanaharakati wa haki za binaadam walivyowalazimisha viongozi wa wakati ule wa GDR kualim amri.

https://p.dw.com/p/3ScOt