1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Lala mahala pema peponi Helmut Kohl

30 Juni 2017

Vijana wengi Afrika huenda hawamfahamu, lakini nchini Ujerumani alikuwa mmojawapo wa wanasiasa maarufu:Helmut Kohl, kansela aliyehudumu kwa kipindi kirefu kabisa, alifariki Juni 16 akiwa na umri wa miaka 87. Katika miaka 16 ya utawala wake, alizitembelea nchi tano tu za Afrika kusini mwa jangwa la Sahara, ikiwemo Namibia, koloni la zamani ya Ujerumani.

https://p.dw.com/p/2fhA6