1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Benjamin Mkapa: asema Tanzania yakabiliwa na janga la elimu

Josephat Charo
26 Machi 2018

Rais mstaafu Benjamin Mkapa amesema kuna janga katika elimu ya Tanzania na kutoa wito wa suala hilo kushughulikiwa. Katika kipindi hiki cha Kinagaubaga, DW imezungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Hakielimu John Kalage, ikiangazia kiwango cha tatizo hilo na kama kuna juhudi zozote za kuchukuliwa kwa haraka kukabiliana nalo.

https://p.dw.com/p/2uy0v