1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwanini wanawake si wapishi katika hoteli kubwa?

Sylvia Mwehozi
18 Julai 2020

Licha ya kwamba wanawake ni wapishi wazuri sana majumbani, ukweli ni kwamba sekta ya upishi katika hoteli kubwa duniani inatawaliwa zaidi na wanaume. Nini hasa kichangia wakinamama kutochangamkia fursa hiyo? Msikilizaji hii ndio mada yetu katika Wanawake na Maendeleo na msimuliaji ni Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/3fWqY