1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwanini wanasiasa hujipiga vifua kwa miradi inayofadhiliwa na fedha za umma?

22 Oktoba 2021

Baadhi ya wasomi pamoja na wachambuzi nchini Tanzania wameanza kuhoji mtindo unaotumiwa na wanasiasa kuwataja viongozi kwa majina binafsi kuwa ndiyo wanaotoa fedha kwa ajili ya kughalimia shughuli za umma kama vile ujenzi wa barabara, hospitali na miradi mingine mikubwa. Katika ripoti ifuatayo mwandishi wetu George Njogopa anachambua maoni ya wasomi hao.

https://p.dw.com/p/4240O