Kwanini wanachama wanakimbia Chadema? | Masuala ya Jamii | DW | 06.12.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kwanini wanachama wanakimbia Chadema?

Baada ya Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania Frederick Sumaye kutangaza kujiondowa kwenye chama cha upinzani Chadema alichojiunga wakati wa pilika pilika za uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, Chama hicho kimetowa msimamo wake kuhusu hatua hiyo kikisema sababu alizozitowa ndugu Sumaye za kujiondowa sio za kweli. Msikilize John Mrema ambaye ni mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema.

Sikiliza sauti 02:40