Kwanini vijana wanachanganya lugha kwenye mazungumzo? | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 12.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Kwanini vijana wanachanganya lugha kwenye mazungumzo?

Anuary Mkama anakuongozea mjadala na kundi la vijana juu ya sababu na athari za kuchanganya lugha kwenye mazungumzo. Vijana wengi hasa wa Afrika Mashariki huchanganya sana kiingereza na kiswahili. Sikiliza uwasikie vijana wanasemaje.

Sikiliza sauti 09:48