Kwanini ukuta wa Berlin uliangushwa? | Media Center | DW | 07.11.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kwanini ukuta wa Berlin uliangushwa?

Tarehe tisa Novemba inatimia miaka 30 tangu kuanguka kwa ukuta wa Berlin. Ni siku muhimu sana katika historia ya Ujerumani. Tizama vidio ifuatayo kufahamu namna ulivyoangushwa.

Tazama vidio 03:40