1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwa nini wageni wanashambliwa nchini Afrika ya Kusini?

Saleh Mwanamilongo14 Oktoba 2020

Nchini Afrika ya Kusini,visa vya chuki na mauwaji ya raia wa kigeni vimekuwa sugu. Licha ya kuweko sheria mpya ya kupambana na ubaguzi dhidi ya wageni, serikali bado haijatekeleza kikamilifu sheria hiyo ili kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria wahusika. Makala ya Mbiu ya Mnyonge tunaangazia kwa nini mashambulio ya ubaguzi yanajirudia nchini Afrika ya Kusini. Msimulizi ni Saleh Mwanamilongo..

https://p.dw.com/p/3jvHE