Kwa nini vijana wa mashariki ya Ujerumani waunga mkono AfD? | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 28.06.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Kwa nini vijana wa mashariki ya Ujerumani waunga mkono AfD?

Katika Sura ya Ujerumani, safari hii tunaangazia kwa nini vuguvugu la vijana wa mashariki ya Ujerumani wanakiunga mkono chama cha Mbadala kwa Ujerumani, AfD.

Sikiliza sauti 09:47