1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwa nini Uber yasitisha huduma zake Tanzania?

14 Aprili 2022

Kampuni ya kimataifa ya usafiri kwa kutumia mtandao, Uber, imesitisha huduma zake nchini Tanzania kuanzia leo Alhamisi. Kampuni hiyo iliyoanza shughuli zake katika jiji la Dar es Salaam tangu mwaka 2016 imesema hatua hiyo imechukuliwa kutokana na kutoridhishwa na masharti mapya yaliyowekwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini(Latra).

https://p.dw.com/p/49xJv