1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwa nini Maalim Seif amehamia ACT Wazalendo?

Grace Kabogo
21 Machi 2019

Mwelekeo mpya wa kisiasa umejitokeza Tanzania baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama cha Wananchi, CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kujiunga na chama cha ACT Wazalendo. Hatua hiyo ni baada ya Mahakama kuu ya Tanzania kusema Profesa Ibrahim Lipumba ni Mwenyekiti halali wa CUF. Katika Kinagaubaga Grace Kabogo amemhoji Ismail Jussa, mmoja wa viongozi wa ngazi ya juu wa CUF waliohamia ACT.

https://p.dw.com/p/3FIa6