Kutumiana ujumbe wa simu wenye maudhui ya ngono imekuwa janga | Masuala ya Jamii | DW | 04.09.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kutumiana ujumbe wa simu wenye maudhui ya ngono imekuwa janga

Mwenendo wa kutumiana ujumbe wenye maudhui ya ngono kwa njia ya simu unawaathiri vipi vijana na hasa linapokuja suala la mahusiano halisi ya kimapenzi? Ungana na Bruce Amani ufahamu zaidi juu ya tabia hiyo inayoelezwa kuwa imekuwa janga miongoni mwa vijana.

Sikiliza sauti 09:45