Kutumia sheria kuhifadhi mazingira | Masuala ya Jamii | DW | 24.04.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Kutumia sheria kuhifadhi mazingira

Sheria ni sehemu muhimu ya ulinzi wa mazingira, maana panapokuwa na tafauti za madaraka, nguvu na ushawishi baina ya matabaka ya kijamii, ni sheria pekee ndiyo inayoweza kusimama kuyatetea mazingira.

Upandaji miti na utetezi wa mazingira.

Upandaji miti na utetezi wa mazingira.

Katika makala hii, Mohamed Dahman anaangalia kazi ya shirika lisilo la kiserikali linaloshughulikia masuala ya haki na sheria za mazingira, Client Earth. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Makala: Mtu na Mazingira
Mtayarishaji/Msimulizi: Mohamed Dahman
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com