1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutana na Yuning Shen, Mchina msomi na mtafiti wa Kiswahili

Mohammed Khelef
21 Machi 2018

Lugha ya Kiswahili inazidi kusambaa ulimwenguni na kuwavutia watu wa mataifa kadhaa kuisoma na kuifanyia utafiti. Mmoja wao ni raia wa China, Yuning Shen, ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Hamburg, anakofanya utafiti kuhusu ghala la maneno ya Kiswahili kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter.

https://p.dw.com/p/2uhgQ