1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutana na mwanamuziki wa Reggae wa Ghana Blakk Rasta

John Juma
8 Juni 2021

Mwanamuziki wa Ghana Blakk Rasta anawataja magwiji wa Reggae kama Bob Marley na Alpha Blondy kama waliomchochea. Lakini pia ameibuka na mtindo wake. Anachanganya lugha za kiafrika na midundo ya Kijamaica.

https://p.dw.com/p/3uaTI