Kutana na Mjasiriamali anayebadili maisha | Anza | DW | 15.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Kutana na Mjasiriamali anayebadili maisha

Marie Konaté ni mjasiriliamali mwenye lengo. Hanunui tu asilimia 100 bidhaa za ndani ya nchi yake bali pia anahakikisha asilimia 50 ya wafanyakazi wake ni wanawake. Anauza uji wa watoto na bidhaa nyingine za vyakula.

Tazama vidio 03:35