1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Khadija Mwanamboka, mbunifu awajengeaye wasichana kujiamini

Mohammed Khelef
28 Mei 2021

Baada ya kufanyakazi ya ubunifu kwa takribani miaka 25, sasa Khadija Mwanamboka ameamuwa kutumia jukwaa lake la Ujuzi Fashion Hub kuwasaidia wasichana kufikia malengo yao katika nyanja zote, hasa wanaotaka kuingia katika kada ya mitindo. Hadija Halifa amemtembelea kumuona jinsi anavyowafunza wasichana wadogo wenye ndoto ya mitindo.

https://p.dw.com/p/3u700