Kutana na Easter Lukale mleta mabadiliko | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 08.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Kutana na Easter Lukale mleta mabadiliko

Ameamua kuendesha kampeni ya kualika marafiki na kutatua changamoto za wasichana kwenye jamii, sasa amewafikia wasichana wenye changamoto ya mabweni, Je, ataleta mabadiliko kupitia mtandao wake wa watu wanaomzunguuka ?

Tazama vidio 05:59