Kundi la wabunge Uganda lataka uchaguzi mkuu uahirishwe | Matukio ya Afrika | DW | 17.03.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Kundi la wabunge Uganda lataka uchaguzi mkuu uahirishwe

Kundi moja la wabunge katika bunge la Uganda limetoa mapendekezo ya kusogeza mbele uchaguzi mkuu wa nchi hiyo kutoka mwaka 2016 kama ilivyopangwa hadi mwaka 2021.

Miongoni mwa sababu zinazotajwa ni pamoja na kuyachunguza na kuyatakeleza mageuzi katika sheria za uchaguzi kama inavyohimizwa na upinzani,Tume ya Uchaguzi na asasi za kiraia. Kutoka mjini Kampala, Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi Ali Muttasa na kwanza alitaka kujua wazo hilo lina umuhimu gani katika siasa za Uganda?

Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Mohammed Khelef

Sauti na Vidio Kuhusu Mada