1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kumbukumbu za harakati za ukombozi Afrika

1 Septemba 2023

Je wafahamu kuwa baadhi ya viongozi wa Afrika waliopigania uhuru walitumia pasipoti ambazo hazikuwa za mataifa yao rasmi? Je ni kwa nini walipewa vyeti hivyo muhimu vya kusafiria? Katika vidio hii Ahmad Juma anafuatilia baadhi ya wale waliopewa vyeti vya Tanzania akiwemo marehemu Nelson Mandela wa Afrika Kusini.

https://p.dw.com/p/4Vqcy