Kukuza vipaji shuleni Tanzania | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 04.07.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Kukuza vipaji shuleni Tanzania

Michezo ni miongoni mwa Tasnia zinazotoa ajira nyingi Duniani hasa wakati vipaji vinaanza kukuzwa mapema. Nchini Tanzania, huwa panaandaliwa mashindano ya michezo na taaluma kwa shule za msingi – UMITASHUMTA na sekondari – UMISSETA ambapo mikoa 26 ya Tanzania bara na visiwani Zanzibar hushikiri

Tazama vidio 03:21