Kujifunza na kufunza Kijerumani | Kozi ya Kijerumani | DW | 03.12.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kozi ya Kijerumani

Kujifunza na kufunza Kijerumani

Kwa kozi za Kijerumani bila malipo kutoka DW unaweza kujifunza Kijerumani kwa kasi yako mwenyewe: Mafunzo ya mtandaoni kwenye kompyuta, pamoja na video, klipu za sauti na faili za sauti za mtandaoni – au kutumia mbizu za kitamaduni pamoja na karatasi za mazoezi unazoweza kuchapisha. Teua kati ya kozi za lugha ya Kijerumani kwa viwango vya wanaoanza na wa juu. Walimu wa Kijerumani kama lugha ya kigeni wanaweza kutumia nyenzo zetu za mawasiliano anuwai katika darasa.