1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kugoma kwa wanafunzi wa Shule za Sekondari nchini Kenya

21 Julai 2008

Nchini Kenya zaidi ya shule 300 za sekondari zimeathirika baada ya wanafunzi kugoma.

https://p.dw.com/p/EgPr

Siku ya Ijumaa mwanafunzi mmoja katika shule ya sekondari ya Upperhill mjini Nairobi alifariki baada ya bweni alimokuwamo kuteketezwa wakati wa migomo hiyo.Hii leo wanafunzi katika shule tatu mjini Nairobi wamegoma na kusababisha uharibifu wa mali inayokadiriwa kuwa na thamani ya mabilioni ya pesa.

Kutoka Nairobi Alfred Kiti ameandaa taarifa ifuatayo.