Kuadhimisha Siku ya Kukosha Mikono | Masuala ya Jamii | DW | 15.10.2008
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Kuadhimisha Siku ya Kukosha Mikono

Umuhimu wa kukosha mikono kwa afya yako

Ni muhimu kukosha mikono yako kabla ya kuanza kula

Ni muhimu kukosha mikono yako kabla ya kuanza kula

Hapa Ujerumani leo inaadhimishwa siku ya kukosha mikono. Kwa baadhi yetu tunaona kukosha mikono kabla ya kula au baada ya ktoka msalani ni jambo la kawaida, lakini lina umuhimu, si tu katika kuweka unadhifu wa mwili, lakini pia afya yako. Tunajikinga na magonjwa mengi sana, ikiwa tunaiendeleza desturi hiyo, na hilo si suala la uzungu au Uafrika, lakini ni jambo muhimu kwetu sisi sote. Nimempigia simu alasiri hii Daktari wa Kiswahili aliyeishi kwa karibu miaka 40 hapa Ujerumani atuelezee faida za mila hiyo ya kukosha mikono. Anazungumza na Deutsche Welle.

 • Tarehe 15.10.2008
 • Mwandishi Othman, Miraji
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/FaGO
 • Tarehe 15.10.2008
 • Mwandishi Othman, Miraji
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/FaGO
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com