Kongamano la watu wenye ulemavu wa ngozi lafanyika Dar es Salaam | Masuala ya Jamii | DW | 19.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kongamano la watu wenye ulemavu wa ngozi lafanyika Dar es Salaam

Mkutano huo ni wa kwanza kufanyika Afrika na unakutanisha watetezi wa haki za binadamu kutoka nchi 29 za barani Afrika. DW imezungumza na Kondo Seif anayehudhuria mkutano huo.

Sikiliza sauti 03:17

Sikiliza mahojiano kati ya Amina Abubakar na Kondo Seif

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com