Kongamano la Wanasheria wa Jumuiya ya Madola, Commonwealth mjini Nairobi | Matukio ya Kisiasa | DW | 11.09.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Kongamano la Wanasheria wa Jumuiya ya Madola, Commonwealth mjini Nairobi

Kongamano la wanasheria wa mataifa ya jumuiya ya madola,Commonwealth, limeanza rasmi mjini Nairobi,kenya.

Zaidi ya wanasheria 2000 kutoka mataifa 53 ya jumuiya ya madola wanahudhuria kongamano hilo, ambapo wanajadili masuala yanayohusika na haki za binaadamu, utandawazi, janga la ukimwi na utatuzi wa mizozo baina ya nchi wanachama.

Mwandishi wetu kutoka Kenya Mwai Gikonyo na taarifa zaidi kutoka Nairobi.

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com