Kongamano la Vyombo vya Habari lakamilika | Masuala ya Jamii | DW | 25.06.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Kongamano la Vyombo vya Habari lakamilika

Kongamano la nane la Kimataifa la Vyombo vya Habari limekamilika mjini Bonn siku ya Jumatano (24.06.2014)

GMF Bakari Machumu Interview

Bakari Machumu akiwa katika studio za Deutsche Welle, mjini Bonn

Josephat Charo amezungumza na Bakari Machumu, Mhariri Mtendaji mkuu wa kampuni ya Mwananchi, jijini Dar es Salaam, Tanzania, aliyekuwa miongoni mwa wajumbe takriban 2,000 waliohudhuria kongamano hilo lililoanza siku ya Jumatatu (22.06.2015)

Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi:Josephat Charo

Mhariri:Mohammed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com