Kongamano la viongozi wa kidini lafanyika nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo | Matukio ya Afrika | DW | 16.05.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Kongamano la viongozi wa kidini lafanyika nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

Viongozi wa kidini nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamekutana jijini Kinshasa ilikutathmini utekelezwaji wa maadili bora kwa viongozi na raia wa nchi hiyo.

Mji wa Kinshasa,DRC kunakofanyika kongamano la kidini

Mji wa Kinshasa,DRC kunakofanyika kongamano la kidini

Makasisi,wachungaji na ma Imam wamehisi kwamba jamii ya Kongo imeharibika kabisa toka nchi hiyo kupata uhuru,kutokana na rushwa na kutokuweko na uzalendo. Kwa wakati huohuo machifu wa jadi wamepanga kukutana ili kujadili ukosefu wa usalama mashariki mwa Kongo.

Taarifa kamili namwandishi wetu Saleh Mwanamilongo:

(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Saleh Mwanamilongo

Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada