Kongamano la vijana lakamilika Ujerumani | Masuala ya Jamii | DW | 25.11.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Kongamano la vijana lakamilika Ujerumani

Kongamano la vijana kutoka mataifa mbali mbali duniani yakiwemo Colombia, Sudan, Nepal na Tanzania lilioandaliwa na chama cha umoja wa mataifa cha Ujerumani mjini Bonn Ujerumani limekamilika

UN Workshop in Bonn (DW/C. Mwakabwale)

Tatu Karema awahoji washiriki wa warsha ya Umoja wa mataifa, Bonn.

Kongamano la vijana kutoka mataifa mbali mbali duniani yakiwemo Colombia, Sudan, Nepal na Tanzania lilioandaliwa na chama cha umoja wa mataifa cha Ujerumani mjini Bonn Ujerumani limekamilika hii leo .Mwenzangu Tatu Karema alipata fursa ya kuzungumza na washiriki wawili kutoka Tanzania ambao ni Rose Robert Manumba, mwanachama wa chama cha wanawake wanasheria nchini Tanzania na Raphael Kambamwene, balozi wa vijana Tanzania katika jumuiya ya Afrika Mashariki ambaye alianza kwa kuelezea lengo la kongamano hilo.


Mwandishi; Tatu Karema
Mhariri.Yusuf Saumu

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com