Kongamano la London la Wazanzibari walio ng′ambo | Matukio ya Kisiasa | DW | 16.12.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Kongamano la London la Wazanzibari walio ng'ambo

Kongamano juu ya mustakbali wa Zanzibar

Mji mkongwe wa Zanzibar

Mji mkongwe wa Zanzibar

Mjini London hii leo kunafanyika kongamano la mustakbali wa Visiwa vya Zanzibar lililoitishwa na jumuiya MUWAZA ambayo imesema madhumuni yake ni kuwaleta Wazanzibari pamoja kutoka ndani na nje ya nchi wajadili mambo yanayohusu nchi yao, kama vile Muungano wa Tanzania, haki za Zanzibar na kuiletea Zanzibar maendeleo. Mwenzangu Othman Miraji alizungumza kwa njia ya simu na Dr. Yusuf Saleh Salim, mmoja wa waasisi wa jumuiya ya Mustakbali wa Zanzibar, MUWAZA, kuhusu kongamano hilo:

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com