1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MichezoQatar

Kombe la Dunia la FIFA 2022: Matarajio ya timu za Afrika

Veronica Natalis
22 Novemba 2022

Mashindano ya Kombe la Dunia la FIFA nchini Qatar yalianza mnamo siku ya Jumapili. Timu 32 zikiwemo tano kutoka barani Afrika zinashiriki mashindano hayo yanayoandaliwa kila baada ya miaka minne. Ghana, Cameroon, Senegal, Morocco na Tunisia zinapeperusha bendera ya Afrika mwaka huu. Je, mataifa ya Afrika yanaweza kujifunza nini kutoka kwenye michuano hiyo ya Kombe la Dunia?

https://p.dw.com/p/4JtrK