1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kituo cha Hits FM chashambuliwa Zanzibar

Mjahida3 Desemba 2015

Kundi la watu wasiojulikana wenye silaha usiku wa kuamkia Alhamisi wameivamia na kuiteketeza studio ya kituo hicho cha kibinafsi kilichopo eneo la Migombani, jimbo la Kikwajuni visiwani Zanzibar.

https://p.dw.com/p/1HGFA
Studio za HitsFM
Picha: Hits FM

[No title]