1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchimbaji wa makaa ya mawe watishia mazingira Lamu

Yusra Buwayhid
21 Agosti 2019

Lamu ni visiwa vya kuvutia nchini Kenya, na vinavyolindwa na wakazi wake wenye ujasiri. Na ndiyo maana hivi karibuni walishinda kesi ya kupinga mradi wa uchimbaji wa makaa ya mawe wanaohofia utaharibu mazingira.

https://p.dw.com/p/3OGZ4