1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kiswahili kinaweza kuwa lugha ya kufundishia Tanzania

Mohammed Khelef
21 Machi 2018

Mkuu wa Idara ya Lugha ya Kiswahili na Isimu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Tanzania, Dk. Pendo Malangwa, anazungumzia nafasi ya Kiswahili kama lugha ya kufundishia elimu ya juu nchini humo pamoja na hali ya tafsiri ilivyo hivi sasa wakati vitabu vyenye maarifa ya kielimu vikihamishiwa kutoka lugha nyengine kwenda Kiswahili.

https://p.dw.com/p/2uhgO