Kiswahili Kina Wenyewe: Upwani na Ubara kwenye Kiswahili | Media Center | DW | 27.11.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kiswahili Kina Wenyewe: Upwani na Ubara kwenye Kiswahili

Kongamano la Kiswahili la mwaka 2019 kwenye Chuo Kikuu cha Bayreuth liliichaguwa maudhi wa "Pwani na Bara" kuwa mada kuu ya mijadala. Je, kwa kiasi gani upwani na ubara unaakisika kwenye uhalisia wa maisha ya kila siku ndani ya jamii za Waswahili? Abdilatif Abdalla anazungumza na Mohammed Khelef.

Sikiliza sauti 11:12