1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kiswahili Kina Wenyewe: Udhanaishi kwenye riwaya

Mohammed Khelef
27 Novemba 2019

Nafasi ya Mungu ni muhimu kwenye utamaduni wa Mswahili, lakini namna Mungu huyo anavyoelezewa inatafatiana baina ya wanafasihi wenyewe. Abdallah Chimerah anafanya utafiti akitumia nadharia ya udhanaishi kwenye riwaya za Kiswahili.

https://p.dw.com/p/3TpX0