Kisiwa cha Mayotte chawa rasmi sehemu ya Ufaransa | Matukio ya Kisiasa | DW | 01.04.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Kisiwa cha Mayotte chawa rasmi sehemu ya Ufaransa

Kisiwa cha Mayotte kimejiunga rasmi hii leo kuwa sehemu ya nchi ya Ufaransa. Hatua hii inafuatia baada ya wananchi wa kisiwa hicho kupiga kura ya maoni iliyoandaliwa na Ufaransa kuhusu kujitenga na Comoro.

--- DW-Grafik: Peter Steinmetz 2011_03_25-Komoren-Mayotte.psd

Visiwa vya Comoro

Hata hivyo utawala wa serikali kuu ya Comoro huko Moroni una msimamo mwengine kuhusu hatua hiyo.Ili kujua zaidi kuhusu vipi suala hili lilivyopokelewa na serikali,Saumu Mmwasimba amezungumza na mkuu wa kamati ya Komoro inayohusika na suala la kisiwa cha Mayotte na balozi wa Komoro nchini Afrika Kusini Ahmed Thabit. Mwandishi: Saumu Mwasimba Mhariri: Josephat Charo

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com