″Kisiwa cha adhabu″ Uganda - Akampene | Anza | DW | 11.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

"Kisiwa cha adhabu" Uganda - Akampene

Katika Ziwa Bunyonyi nchini Uganda, kuna kisiwa kidogo ambacho kina historia mbaya. Kilitumiwa kuwaadhibu wasichana waliopata uja uzito nje ya ndoa.

Tazama vidio 02:07